Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Walimu wanaokula shavu ni mwenye certificate na diploma zaidi bachelor wachache sanaa
Kazi nyingi siku hizi ni certificate na diploma yani za bachelor ni chache sana yaani kama una mtoto kafaulu form 4 vizuri usimpeleke advance. asome tu diploma huku ukiendelea kumtafutia mtaji .mimi Mungu akinibariki nitafanya hivi sitapeleka mtoto advance

Sisi zimetoka nafasi 10 tu mwaka huu sasa tumemaliza wangapi huko mtaani .. tupo wangapi wenye uhitaji...

Utaskia vijana mjiajiri sasa kijana unasoma form 1 Hadi form 4 unalipiwa Ada huna shughuli yeyote upo chini ya uangalizi wa wazazi bado tena form 5 na 6 unalipiwa ada na chuo tena unategemea mkopo ndio usome loan board wakikukata ndio imekula kwako huo mtaji utatoa wapi
 
polisi wamepewa kibali tyri sema hatuna hakika kama kweli watakuja karibuni ama agasti.
Aiseeh kitaa hakusomeki.mfano nimecheki pdf ya walimu na afya sijaona hata mwanangu mmoja
Sema nao cjui watataka form four tu kama magereza au itakuwaje
 
Attachments

  • FB_IMG_1656397836210.jpg
    FB_IMG_1656397836210.jpg
    67.4 KB · Views: 29
Dah CCP moshi hapo huo uwanja nilienda mwaka 2015 kama sijakosea kwenye mahafali ya ndugu mmoja hivi.

Polisi waje tu . Hivi wakihitimu ndio wanakatwa vibangala vya FFU na TRAFFIC au imekaaje ?

Quote Reply
Report Edit
FFU unakatwa bogi mkimaliza

Nafasi ya trafiki unapata tayari ukiwa kazini kama utachaguliwa
 
Wanafunzi 150 wamefukuzwa katika shule ya polisi Siha moshi madai ni utovu wa nidhamu, IGP Sirro amelithibitisha hilo. Wakuu tukipata vibogi tusicheke na nyani ila tucheke na madoso tu, wazazi wanategemea makubwa halafu ukaharibu kazi kisa kicheichei au vileo ambavyo ukivumilia utavikuta tu baada ya kozi. Aah tusiruhusu hili.
 
Minanzi hiyoo [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom