Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Huku wanawengi waliokuwa active wamerudi kozi na wengine wameenda kozi yaani nikiuona huu Uzi unanikumbusha mbali Sana wadau niliofanaya nao usaili humu

Kila kitu kina muda wake
 
Huku wanawengi waliokuwa active wamerudi kozi na wengine wameenda kozi yaani nikiuona huu Uzi unanikumbusha mbali Sana wadau niliofanaya nao usaili humu

Kila kitu kina muda wake
Alipiga interview ngapi mkuu?Usikate tamaa. This time unapata
 
Mwanagu kunguru wa manzese Natumai ukirudi utaa0
 
Akina Kunguru wa Manzese wameapa leo CMK_Tukuyu MBEYA jumla ya askari 1200 wamehitimu!!View attachment 2555718View attachment 2555721View attachment 2555719
FB_IMG_1679075968472.jpg
View attachment 2555720
 
Back
Top Bottom