Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
TIBA YA NGUVU ZA KIUME
🌿MAHITAJI🌿
👉Kisenganyika
👉Lubung'wa
👉Msigi
👉Mtundwa

⚡Changanya dawa hizo kwa ujazo sawa
⚡Chukua kijiko kimoja Cha mchanganyiko wako koroga kwenye uji ama maji moto kikombe kimoja
⚡ Kunywa dawa hiyoo, fanya hivyo kutwa mara mbili.

Kwa ushauri na tiba za maradhi mbalimbali wasiliana nasi
What's app/call
+255656303019
~Chief Sang'ida .
 
naomba niunganishe uzi,,na nguvu za kike vipi dawa
 
wazee wa kiganja.....kula vizuri,kunywa maji mengi na pata muda mzuri wa kupumzika...(huwezi kufanya hayo mambo matatu bila kufanya mazoezi)
 
Back
Top Bottom