Msaada jamani album iitwayo remember bob marley-proverbial reggae

Msaada jamani album iitwayo remember bob marley-proverbial reggae

VOICE OF MTWARA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
2,987
Reaction score
1,954
WADAU naombeni mnisaidie ni wapi nitaipata album ya muziki wa reggae yenye jina "REMEMBER BOB MARLEY-PROVERBIAL REGGAE" picha ya cover lake ilikuwa na wanaume watatu wakiwa wamekaa. ndani ilikua na nyimbo kama vile "marley" "funeral" "freedom" "prise" "babylon" "two turne girls" "mama africa". nilikua nayo lakini ikaibiwa mwaka 2006.nimejaribu ku google lakini sizipati hizi nyimbo. naombeni msaada wadau ili niweze kuipata.
ENOUGH RESPECT
 
Proverbial Reggae - Wikipedia, the free encyclopedia

iLE COVER NI YA KUNDI LA THE GRADIATORS NA ALBUM IKIITWA Proverbial Reggae. INAVYOONEKANA KILICHOWEKWA NDANI KWENYE ILE CD NI TOFAUTI NA ALBUM YENYEWE .PIA ALOTUBAMBIKA ALIONGEZA NA MANENO REMEMBER BOB KWENYE JINA LA ALBUM.
ORIGINAL ALBUM YENYE COVER YA WATU WATATU (THE GRADIATORS)INAITWA PROVERBIAL REGGAE NA NYIMBO ZILIZOPO NI TOFAUTI NA HIZO ZA MAMA AFRICA,FUNERAL ETC. NYIMBO ZILIZOPO KATIKA PROVERBIAL REGGAE NI..

Side One
"Jah Works" - 3.30
"The Best Things in Life" - 4.02
"Dreadlocks the Time is Now" - 3.03
"Fly Away" - 3.45
"Marvel Not" - 3.54 (Clinton Fearon)
Side Two
"Stick a Bush" - 2.27
"Stop Before You Go" - 3.00
"Can You Imagine How I Feel" - 4.10 (Clinton Fearon)
"We'll Find the Blessing" - 3.02
"Music Makers from Jamaica" - 3.40

HATA MIMI NIKO KATIKA MSAKO WA NYIMBO ZILE.....MAMA AFRICA,FUNERAL ETC
 
Mkuu VOICE OF MTWARA, binafsi nilikua natafuta sana hiyo Album lakini kwa kweli sijafanikiwa kupata hata single moja. Sijakata tamaa kwa maana pamoja kwamba japo kua kipindi hicho nilikua sielewi lugha waliokua wakiimba lakini nilikua napata hisia kubwa sana haswa ktk wimbo wa mama. Ile album iliandikwa Songs of freedom na nahisi wale jamaa ni wa Jamaica. Chonde chonde tupeane feed back.
 
Last edited by a moderator:
mkuu voice of mtwara, binafsi nilikua natafuta sana hiyo album lakini kwa kweli sijafanikiwa kupata hata single moja. Sijakata tamaa kwa maana pamoja kwamba japo kua kipindi hicho nilikua sielewi lugha waliokua wakiimba lakini nilikua napata hisia kubwa sana haswa ktk wimbo wa mama. Ile album iliandikwa songs of freedom na nahisi wale jamaa ni wa jamaica. Chonde chonde tupeane feed back.
jamaa ni kutoka south africa
 
Last edited by a moderator:
wakuu Likwanda na Lussadam msako mkali wa hii album unaendelea. album ile ndiyo ilinifanya niwe mfuasi wa reggae.
 
soon tings will be cook and curry . mwenyewe nimesaka sana hiyo album hebu tusaidiane wadau
 
VOICE OF MTWARA

Hii makitu na mimi niliitafuta sanaaaaa bila mafanikio kuna siku niliona hilo cover nikanote down nikazama Google na kila kona album zote za gradiator hazina hizo nyimbo hata moja... nikazama beemp3 bila bila nikajua walioimba si gradiator nikachoka nikawauliza wadau wa Reggae wa kwenye radio hakuna hata aliyekuja nijibu.... kwani nilikuw natafuta album mbili nikaambulia moja tu ya ''oh My commanding my life'' she want to destroy my life ooohhh ahhhaaa

Hao jamaa ni noma kwa songs zao za kumkumbuka Bob Marley..... Oyoy oy oyo oy oyo i we want for freedom.......

Remember my brother....
The Gita man ...
the Kaya man....

Mdau aliyechania na kusema ni wasouth pengine yawezekana maana mimi nilizama hadi kwenye web za jamaica bila mafanikio.... kama kuna mdau ana tape nimuazime kisha nihamishe on CD
 
Last edited by a moderator:
jamaa ni kutoka south africa

Mkuu kama ni South unamaanisha ni kundi la O'yaba ? jamaa wapo fresh sana kiuimbaji na kiongozi wao alikuwa anaimba na Dube .... na wao kwenye Internet wapo down sana niliambulia kibao chao kimoja tu.....

South kuna kundi la kale sana miaka ya sitini kina Sophia thapeni wana kibao kikali sana ''Change my mind'' nakitafuta sana sijafanikiwa kuna siku nilikipata nikambulia download ya secunde 30 tu....
Tujuzane basi hizi songs za kale tunazimind sana wengine hata kama una link tujuzane tu ukisema ni South kidogo unatuacha njia Panda...

Kama kuna mwenye Contact za Masuud Masuud huwa anazipiga sometime baada za kuchambua saaana
 
mkuu mlaleo umeamsha hisia zangu kwa hiyo mistari uliyoandika hapo inayopatikana kwenye wimbo "marley" ebana me nilikuwa nayo ile album akaazima rafiki yangu hakunirudishia akadai imeibiwa. ila pale masasi niliwahi kuiskia inapigwa kwenye nyumba mbili tofauti wakati huo na mimi nikiwa nayo yangu. kwa sasa niko kigoma, nikienda masasi nitajitahidi niwaombe wale jamaa waniuzie hata kwa 50000/= niko tayari.
mwaka jana niliiskia inapigwa kwenye daladala ya mbezi- posta nikajaribu kumuomba yule dereva aniuzie akakataa

VOICE OF MTWARA

Hii makitu na mimi niliitafuta sanaaaaa bila mafanikio kuna siku niliona hilo cover nikanote down nikazama Google na kila kona album zote za gradiator hazina hizo nyimbo hata moja... nikazama beemp3 bila bila nikajua walioimba si gradiator nikachoka nikawauliza wadau wa Reggae wa kwenye radio hakuna hata aliyekuja nijibu.... kwani nilikuw natafuta album mbili nikaambulia moja tu ya ''oh My commanding my life'' she want to destroy my life ooohhh ahhhaaa

Hao jamaa ni noma kwa songs zao za kumkumbuka Bob Marley..... Oyoy oy oyo oy oyo i we want for freedom.......

Remember my brother....
The Gita man ...
the Kaya man....

Mdau aliyechania na kusema ni wasouth pengine yawezekana maana mimi nilizama hadi kwenye web za jamaica bila mafanikio.... kama kuna mdau ana tape nimuazime kisha nihamishe on CD
 
kuna bwana mmoja nimeongea nae kasema hiyo tape anayo sema ila yy yupo mkoani yupo njombe.
kama kuna mtu yupo huko unapomaliza kile kilima kutoka polisi mkono wako wa kushoto ukisha maliza bank kuna petrol station ya bp kuanzia hapo ukiulizia LEGELEGE utampata hata ukimuulizia mtoto mdogo anakupeleka au ukisogea mbele kidogo kwa mzee edina wanaposhinda madalali utakutana naye coz anaofisi mitaa hiyohiyo.
huyo jamaa anatape na cd na pleyer yale macd meusi ya kizamani ya rege na mikanda ya vhs video mingi sana.anakabati kubwa imejaa.
ndio maana walimwita legelege shauri anapenda sana rege
nakumbuka huwa anatembea mpaka na redio ikifika siku ya kipindi cha rege radio free afrika mpaka huwa anageuka kuwa kivutio.
 
asante mkuu kuna jamaa yangu yuko huko nitaongea naye afuatilie

Si Mchezo Song hizo walikuwa wapare na wachaga wanazipenda sana nadhani mtu akitua Moshi hakosi ndani ya dakika 20 anapata... ukiwaonesha picha ya Gladiator tu....

Tatizo wahindi ndio waliharibu kila kitu kwani wao ndio walikuwa wanazicopy hizo songs na kisha wanaweka macover wanayoyapenda wao.... Pengine ukienda pale Msimbazi unaweza pata but Onesha Cover la picha hiyo hapo down bur ukiipata utizame song list Walitype Remember Bob Marley,Freedom na zingine....
 
Ni kweli wakuu, cover lilikua hili hili
220px-GladiatorsProverbialReggae.jpg
Hata mimi nilikua najua kua ni Wasouth na ninaamini hivyo ila niliedit baada ya kuona link ya mshikaji hapo ya wikipedia. Dah wadau kwakweli hiyo album nikiipata naweza mwaga chozi kwa kumbukumbu tofauti.
 
yes! album ilikua na cover hilo, wakati huo nilikua nadhani bob marley ni huyo wa katikati, kumbe album yenyewe haikuimbwa na bob.
 
Back
Top Bottom