VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
- Thread starter
- #21
chonde chonde mkuu jitahidi sana, tunategemea utatimiza ahadi yako
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..
WADAU naombeni mnisaidie ni wapi nitaipata album ya muziki wa reggae yenye jina "REMEMBER BOB MARLEY-PROVERBIAL REGGAE" picha ya cover lake ilikuwa na wanaume watatu wakiwa wamekaa. ndani ilikua na nyimbo kama vile "marley" "funeral" "freedom" "prise" "babylon" "two turne girls" "mama africa". nilikua nayo lakini ikaibiwa mwaka 2006.nimejaribu ku google lakini sizipati hizi nyimbo. naombeni msaada wadau ili niweze kuipata.
ENOUGH RESPECT
m.youtube.com/watch?v=E93vPefKik8
mkuu nimejaribu nimeambiwa kuwa URL niliyoingiza ni wrong
Nimeitafuta alban hii muda mrefu tukiwa na mdau wangu wa kahama hatimaye nimeipata you tube, nimemtumia jamaa kwa watsup hadi katamani kulia, imagine tangu 2006, hii albam ilikuwa inatafutwa
mkuu mlaleo umeamsha hisia zangu kwa hiyo mistari uliyoandika hapo inayopatikana kwenye wimbo "marley" ebana me nilikuwa nayo ile album akaazima rafiki yangu hakunirudishia akadai imeibiwa. ila pale masasi niliwahi kuiskia inapigwa kwenye nyumba mbili tofauti wakati huo na mimi nikiwa nayo yangu. kwa sasa niko kigoma, nikienda masasi nitajitahidi niwaombe wale jamaa waniuzie hata kwa 50000/= niko tayari.
mwaka jana niliiskia inapigwa kwenye daladala ya mbezi- posta nikajaribu kumuomba yule dereva aniuzie akakataa
Mkuu Zishawekwa Youtube no need Kuuza unaziconvert tu kwenye web hii YouTube to mp3 ConverterHIYO ALBUM NINAYO....
NAMBA ZANGU NI 0714410171
Face Book Loopy Daz!!
NITAWAPATIA KWA WATAKAO CHANGIA JUHUDI ZA MSAKO WANGU!!
2500@Track Zipo KtK MP3 lowquality: tape sound
Track No 1- Marley
Track No 2 -Freedom
Track No 3 -Praise
Track No 4 -Dear Mama
Track No 5 -Mama Africa
Track No 6 -Stop Fighting
Track No 7 -Funeral
Track No 8 -Scholar Boy
Track No 9 -Two Tune Girl
Bonus Track - Babylon (Hip Hop)
Muwe Na Sikukuu Njema!!
mkuu bado tu, mi mwenyewe naisubiri kwa ham
NIPM, nitakupatia free na nyingine nyingi sana.WADAU naombeni mnisaidie ni wapi nitaipata album ya muziki wa reggae yenye jina "REMEMBER BOB MARLEY-PROVERBIAL REGGAE" picha ya cover lake ilikuwa na wanaume watatu wakiwa wamekaa. ndani ilikua na nyimbo kama vile "marley" "funeral" "freedom" "prise" "babylon" "two turne girls" "mama africa". nilikua nayo lakini ikaibiwa mwaka 2006.nimejaribu ku google lakini sizipati hizi nyimbo. naombeni msaada wadau ili niweze kuipata.
ENOUGH RESPECT
basi mkuu kumbe ulipata, mi ndo nimeona leo thread yako. Kama unahitaji mwana reggae yoyote au video mbalimbali za rege tuwasiliane kwa PMWADAU naombeni mnisaidie ni wapi nitaipata album ya muziki wa reggae yenye jina "REMEMBER BOB MARLEY-PROVERBIAL REGGAE" picha ya cover lake ilikuwa na wanaume watatu wakiwa wamekaa. ndani ilikua na nyimbo kama vile "marley" "funeral" "freedom" "prise" "babylon" "two turne girls" "mama africa". nilikua nayo lakini ikaibiwa mwaka 2006.nimejaribu ku google lakini sizipati hizi nyimbo. naombeni msaada wadau ili niweze kuipata.
ENOUGH RESPECT