Msaada jamani album iitwayo remember bob marley-proverbial reggae

Msaada jamani album iitwayo remember bob marley-proverbial reggae

Niliwahi kusikiliza nyimbo zote hizo.

Kuna mdau wa Reggae aliniambia nyimbo hizo ziliandaliwa na Sippho Johson. Sijathibitisha hili bado.

Hazichuji zile nyimbo
 
Proverbial Reggae - Wikipedia, the free encyclopedia

iLE COVER NI YA KUNDI LA THE GRADIATORS NA ALBUM IKIITWA Proverbial Reggae. INAVYOONEKANA KILICHOWEKWA NDANI KWENYE ILE CD NI TOFAUTI NA ALBUM YENYEWE .PIA ALOTUBAMBIKA ALIONGEZA NA MANENO REMEMBER BOB KWENYE JINA LA ALBUM.
ORIGINAL ALBUM YENYE COVER YA WATU WATATU (THE GRADIATORS)INAITWA PROVERBIAL REGGAE NA NYIMBO ZILIZOPO NI TOFAUTI NA HIZO ZA MAMA AFRICA,FUNERAL ETC. NYIMBO ZILIZOPO KATIKA PROVERBIAL REGGAE NI..

Side One
"Jah Works" - 3.30
"The Best Things in Life" - 4.02
"Dreadlocks the Time is Now" - 3.03
"Fly Away" - 3.45
"Marvel Not" - 3.54 (Clinton Fearon)
Side Two
"Stick a Bush" - 2.27
"Stop Before You Go" - 3.00
"Can You Imagine How I Feel" - 4.10 (Clinton Fearon)
"We'll Find the Blessing" - 3.02
"Music Makers from Jamaica" - 3.40

HATA MIMI NIKO KATIKA MSAKO WA NYIMBO ZILE.....MAMA AFRICA,FUNERAL ETC
Kumbe kundi la hao vijana linaitwa; Rufaro and Black history. Nyimbo zao original zipo mtandaoni, pamoja ha hizo zingine zilizopandishwa kwa jina la Gladiators Proverbial Reggae
 
Mkuu VOICE OF MTWARA, binafsi nilikua natafuta sana hiyo Album lakini kwa kweli sijafanikiwa kupata hata single moja. Sijakata tamaa kwa maana pamoja kwamba japo kua kipindi hicho nilikua sielewi lugha waliokua wakiimba lakini nilikua napata hisia kubwa sana haswa ktk wimbo wa mama. Ile album iliandikwa Songs of freedom na nahisi wale jamaa ni wa Jamaica. Chonde chonde tupeane feed back.
Kumbe kundi la hao vijana linaitwa; Rufaro and Black history. Nyimbo zao original zipo mtandaoni, pamoja ha hizo zingine zilizopandishwa kwa jina la Gladiators Proverbial Reggae
 
Back
Top Bottom