VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
jamaa ni kutoka south africamkuu voice of mtwara, binafsi nilikua natafuta sana hiyo album lakini kwa kweli sijafanikiwa kupata hata single moja. Sijakata tamaa kwa maana pamoja kwamba japo kua kipindi hicho nilikua sielewi lugha waliokua wakiimba lakini nilikua napata hisia kubwa sana haswa ktk wimbo wa mama. Ile album iliandikwa songs of freedom na nahisi wale jamaa ni wa jamaica. Chonde chonde tupeane feed back.
Ulishawahi msaidia mtu katika maisha yako hivi japo siku moja?Nenda yuotube
jamaa ni kutoka south africa
VOICE OF MTWARA
Hii makitu na mimi niliitafuta sanaaaaa bila mafanikio kuna siku niliona hilo cover nikanote down nikazama Google na kila kona album zote za gradiator hazina hizo nyimbo hata moja... nikazama beemp3 bila bila nikajua walioimba si gradiator nikachoka nikawauliza wadau wa Reggae wa kwenye radio hakuna hata aliyekuja nijibu.... kwani nilikuw natafuta album mbili nikaambulia moja tu ya ''oh My commanding my life'' she want to destroy my life ooohhh ahhhaaa
Hao jamaa ni noma kwa songs zao za kumkumbuka Bob Marley..... Oyoy oy oyo oy oyo i we want for freedom.......
Remember my brother....
The Gita man ...
the Kaya man....
Mdau aliyechania na kusema ni wasouth pengine yawezekana maana mimi nilizama hadi kwenye web za jamaica bila mafanikio.... kama kuna mdau ana tape nimuazime kisha nihamishe on CD
kuna bwana mmoja nimeongea nae kasema hiyo tape anayo sema ila yy yupo mkoani yupo njombe.
kama kuna mtu yupo huko unapomaliza kile kilima kutoka polisi mkono wako wa kushoto ukisha maliza bank kuna petrol station ya bp kuanzia hapo ukiulizia LEGELEGE utampata hata ukimuulizia mtoto mdogo anakupeleka au ukisogea mbele kidogo kwa mzee edina wanaposhinda madalali utakutana naye coz anaofisi mitaa hiyohiyo.
huyo jamaa anatape na cd na pleyer yale macd meusi ya kizamani ya rege na mikanda ya vhs video mingi sana.anakabati kubwa imejaa.
ndio maana walimwita legelege shauri anapenda sana rege
nakumbuka huwa anatembea mpaka na redio ikifika siku ya kipindi cha rege radio free afrika mpaka huwa anageuka kuwa kivutio.
Na wewe unauliza au ndio unazingua tu!Download on iTunes
Ni kweli wakuu, cover lilikua hili hiliHata mimi nilikua najua kua ni Wasouth na ninaamini hivyo ila niliedit baada ya kuona link ya mshikaji hapo ya wikipedia. Dah wadau kwakweli hiyo album nikiipata naweza mwaga chozi kwa kumbukumbu tofauti.
Keshokutwa takua nshaiweka hapa..