Msaada jamani album iitwayo remember bob marley-proverbial reggae

HIYO ALBUM NINAYO....
NAMBA ZANGU NI 0714410171
Face Book Loopy Daz!!
NITAWAPATIA KWA WATAKAO CHANGIA JUHUDI ZA MSAKO WANGU!!
2500@Track Zipo KtK MP3 lowquality: tape sound

Track No 1- Marley
Track No 2 -Freedom
Track No 3 -Praise
Track No 4 -Dear Mama
Track No 5 -Mama Africa
Track No 6 -Stop Fighting
Track No 7 -Funeral
Track No 8 -Scholar Boy
Track No 9 -Two Tune Girl
Bonus Track - Babylon (Hip Hop)

Muwe Na Sikukuu Njema!!
 
Naijua link ya kudownload. Nilizipata zote, ninazo kwenye laptop. Nikipata wasaa nitweka link kwa kuwa nipo nje ya 3g.

"Marley, Marley is the Rasta, Oh Bob Marley oh yeh , Marley is the rasta, Mr. bongo man, mr. Kaya man, wella wella wella...."
 

Yan dunia ya leo unatafuta nyimbo kwa style hiyo! Duh we mkali, unataka LP au casette? Au shida yako nilazma upate na picha ya hao watu watatu? Maana km ulbum unaifaham na nyimbo unazijua, c ni swala la kudownload mp3 kwenye Google na hata picha za hao jamaa zipo online. Hata ukienda kwa vjana wanao ingiza nyimbo kwa computer barabarani watakudownlodia. Labda swali lingekuwa " utazipataje hizo nyimbo" ili watu wakusaidie mawazo. Lkn co mbaya nicje nikawaharibia watu biashara, kuna mtu katoa contacts mpelekee pesa hyo.
 
shukrani za dhati ziwafikie nyote mliofanikisha upatikanaji wa album hii
asante sana Ras Powerman
 
Nimeitafuta alban hii muda mrefu tukiwa na mdau wangu wa kahama hatimaye nimeipata you tube, nimemtumia jamaa kwa watsup hadi katamani kulia, imagine tangu 2006, hii albam ilikuwa inatafutwa
 
Nimeitafuta alban hii muda mrefu tukiwa na mdau wangu wa kahama hatimaye nimeipata you tube, nimemtumia jamaa kwa watsup hadi katamani kulia, imagine tangu 2006, hii albam ilikuwa inatafutwa

mkuu me toka jana nilivyodownload najikuta naplay muda wote. nimeikosa hii album toka mwaka 2006
 

Kuna Jamaa keshaziweka Youtube


Safi Sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Zishawekwa Youtube no need Kuuza unaziconvert tu kwenye web hii YouTube to mp3 Converter

Unaibandika link ya Youtube then unadownload unapata mp3

 
Last edited by a moderator:
NIPM, nitakupatia free na nyingine nyingi sana.
 
basi mkuu kumbe ulipata, mi ndo nimeona leo thread yako. Kama unahitaji mwana reggae yoyote au video mbalimbali za rege tuwasiliane kwa PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…