Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

politics observer

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2024
Posts
385
Reaction score
299
Natumai wote n wazima wa afya…

Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?

Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..

Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa.

Ina feature nyingi ambazo kila gari ya kisasa bac lazima iwe nayo. Pia ni very comfortable, safety features za kutosha, engine power ✅, reather seats✅, stylish… na mazaga kibao..

Ina engine ndogo tuu na ni very economy. Cc 1,600 na 2000,

Na pia yapo matoleo ya hybrid,

Hizi gari kwa bei ya mkononi zinauzwa kitonga sn, na nyingi ni number E..

Yani kila anaeuza utasikia anasema Exchage allowed

Sasa kabla wengine hatujaingia mkenge please naomba tusanuane, hasa kwa wale ambao walishawai kuyamiliki…

Shida ni nn mpaka resale value yake iwe chini hivi? Kama ni Mimba tusanuane please..

Natanguliza shukrani




 

Attachments

  • 1D0D7FBA-A7B9-471D-8F49-636D16030430.jpeg
    125.1 KB · Views: 20
  • 9F9CDA8A-7371-4D90-84BE-19E492E585B3.jpeg
    112.8 KB · Views: 21
  • 11F0D61F-2A31-4F0A-AD36-B54D15BE63B7.jpeg
    236.2 KB · Views: 17
  • 0489A1AF-809F-426C-B02D-D969ADDF2A8F.jpeg
    80.9 KB · Views: 19

Ninachojua;
Ground clearance yake ni ndogo (vipo chini) hivyo sio rafiki sana wa barabara zetu
Kuhusu mafuta kwa Subaru; hata ukiona cc 1.6 ulaji wake wa mafuta sio wa kubeza...
Spare zake na Mafundi wake sio wengi hivyo kama hela yako ni ya kuunga unga usiende huko
Ila Kama umetoka familia bora, ni vigari vizuri sana vya vijana 18 - 39
 
Na shukuru sn kwa mrejesho…

Pesa yangu y manati, na toyota gang nimeichoka, so nipo kwny harakati y kubadili mkebe… so nimefikilia kuishi humo…
 
Msaada hapo kwny cc 1.6 vs 2.3

Inawezaje cc 1.6 ikala mafuta kuliko 2.3 ?
Naweza jua visababishi?
 
Ninamiliki Subaru legacy outback, ipo kama Impreza tu.
Kwa kifupi watu wengi wana stereo type fulani ya kuchukua Subaru ila kiuhalisia Subaru ni ulimwengu fulani wa usalama na ladha ya aina yake.

Ni gari yangu ya kwanza kujifunzia tangu mwaka 2019 na infact sijawahi jutia uamuzi wangu. Hata nikinunua jingine nina hakika ni Subie.
 
Cha kwanza wese..
Yaani usiwe na mawazo kabisa..
Kingine spare japo zipo ila msumari bei zake.
Kingine ukishanunua ni lako ni kama umefunga nalo ndoa😫
 
Alafu mkisema wese, mngetoa hata kwa ufupi yaani ratio ni kiasi gani cha mafuta kinatumika per 100km au 1 litre per kilometre
Ukisoma specifications zake wanasema 15 - 18 Km per liter which is economy,

Sema wadau wanasema n jini, ss cjui how au mama Toyota bado anaendelea kupandikiza mbegu kwny mindset zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…