Msaada jamani: Haya magari yana shida gani?

Alafu mkisema wese, mngetoa hata kwa ufupi yaani ratio ni kiasi gani cha mafuta kinatumika per 100km au 1 litre per kilometre
Wanaposema wese wanafikiria gari inatumia maji au?.
Halafu wese ni matumizi yako mfano ukiendesha safari fupifupi nyingi lazima ulie na wese.

Usipofanya service kwa wakati mfano gear box oil, engine oil utalia na wese.

Usipokagua upepo kwenye tairi za gari lako utalia na wese tu.

Usipofanya msawazo wa tairi "wheel alignment" utalia na wese.

.............................................................
Mimi langu linatembea km8 hadi 11 kwa lita moja
 
9 mpaka 10 unapata msumali kweli kweli….
Inshort subaru hasa hatchback si gari ya kinunua leo ukasema kesho uuze..

Kuna zile Subaru legacy ni gar zuri sn, ila ukisema unauza m 7 kila mtu anaguna..

Wenyenazo wanazitupa had million 5
Kwa depreciation hiyo ata izo za 4th gen ni nzuri kama mtu unataka ukae nayo muda mrefu, kikubwa chagua yenye engine ndogo non turbo, CVT transmission ya Subaru nzuri sio kama ya Nissan.
 
Wanaposema wese wanafikiria gari inatumia maji au?.
Halafu wese ni matumizi yako mfano ukiendesha safari fupifupi nyingi lazima ulie na wese.

Usipofanya service kwa wakati mfano gear box oil, engine oil utalia na wese.

Usipokagua upepo kwenye tairi za gari lako utalia na wese tu.

Usipofanya msawazo wa tairi "wheel alignment" utalia na wese.

.............................................................
Mimi langu linatembea km8 hadi 11 kwa lita moja
Generation ya ngap hiyo yako mkuu
 
Ukisoma specifications zake wanasema 15 - 18 Km per liter which is economy,

Sema wadau wanasema n jini, ss cjui how au mama Toyota bado anaendelea kupandikiza mbegu kwny mindset zetu
Ndo maana nimeuliza mkuu maana 15km to 18km reasonable yaani kiujumla gari inayokwenda 10km and above kwa safari za mjini sio mbaya kwani hapo maana yake kwa safari zisizo na foleni itakwenda zaidi
 
Hizo gari kweli zinatamanisha machoni, ila nyingi km zimesogea sana..ukiona ina km zaidi ya laki kimbia..mi nilitaka kuagiza na nilienda befoward kabisa ila kuna mdada nilimkuta pale ndo akanisanua.
 
Wanaposema wese wanafikiria gari inatumia maji au?.
Halafu wese ni matumizi yako mfano ukiendesha safari fupifupi nyingi lazima ulie na wese.

Usipofanya service kwa wakati mfano gear box oil, engine oil utalia na wese.

Usipokagua upepo kwenye tairi za gari lako utalia na wese tu.

Usipofanya msawazo wa tairi "wheel alignment" utalia na wese.

.............................................................
Mimi langu linatembea km8 hadi 11 kwa lita moja
Ndipo hapo mkuu
 
9 mpaka 10 unapata msumali kweli kweli….
Inshort subaru hasa hatchback si gari ya kununua leo ukategemea kesho uuze..

Kuna zile Subaru legacy ni gar zuri sn, ila ukisema unauza m 7 kila mtu anaguna..

Wenyenazo wanazitupa had million 5
Hv kwann, mbona subaru n gari nzuri sn, performance, speed, comfort au kilema cha toyota kinatutafuna?
 
Back
Top Bottom