Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
RVR ni mdogo wake Outlander. Kama last born flan. Mwanangu analo unyama sana.Wakija waongeze na RVR Mutsubishi.
Naiwaza sana hii gari, nataka first-hand experience aisee.RVR ni mdogo wake Outlander. Kama last born flan. Mwanangu analo unyama sana.
Tumeagiza outlander ya mwaka 2009, total imegharimu 21.1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu...
Ukiwa serious utaniambia nikukutanishe nae jamaa wa kazini kwetu. Analo since June 2023. Nadhani inatosha kiasi. Yeye ni first car yake.Naiwaza sana hii gari, nataka first-hand experience aisee.
Tumeagiza outlander ya mwaka 2009,, total imegharimu 21 milioni.1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu...
Mbona first car akanunua gari haijulikani kivile, tumezoa gari ya kwanza ni Toyota tu..haha!!Ukiwa serious utaniambia nikukutanishe nae jamaa wa kazini kwetu. Analo since June 2023. Nadhani inatosha kiasi. Yeye ni first car yake.
Unyama sana japo mzee cc2300 sio mbaya.Tumeagiza outlander ya mwaka 2009,, total imegharimu 21.
Alikua ana options izo Dualis, RVR, X1 nikamsaidia kukataa X1 kabisa. Ila Dualis akaikataa mwenyewe akabakiwa na iyo Mitsubishi.Mbona first car akanunua gari haijulikani kivile, tumezoa gari ya kwanza ni Toyota tu..haha!!
Hii gari ina heshima yake pia mkuu,Unyama sana japo mzee cc2300 sio mbaya.
Yeah. Pia kubwa. Nadhani kwa family car ni unyama.Hii gari ina heshima yake pia mkuu,
Naam mkuu,Yeah. Pia kubwa. Nadhani kwa family car ni unyama.
Mazda CV-5 ni gari ya kijanja hasa Kwa muonekano wake hii gari inakubali Sana mapambo kama off set tyres na rim fulani za kijanja1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu...
Hafu wabongo wamezipokea kwa. Mikono miwiliMazda CV-5 ni gari ya kijanja hasa Kwa muonekano wake hii gari inakubali Sana mapambo kama off set tyres na rim fulani za kijanja