Naona hujampa majibu sahihi mtoa mada kwenye baadhi ya maeneo, umekuwa kama unamkosoa wakati amekuwa very specific
Alisema anataka zilinganishwe za miaka sawa. Gari hizi zote utazikuta kwa miaka 2012 - 2013 kwa sababu kabla ya hapa hakukuwa na CX5 na baada ya hapa hakukuwa na Vanguard.
Ameuliza speed akimaanisha kati ya hizo, angetaka sports car asingeainisha kabisa gari hizi tatu. Ila point ni kwamba kati ya hizo ipi ina soeed zaidi…CX5 2.2 D au vanguard yenye cc3500 (2GR) engine ni chaguo sahihi.
Ameuliza ukisasa, kwa hiyo miaka ambazo hizi gari zote zilitengenezwa ungeweza kulinganisha ipo ina ukisasa zaidi…Outlander zipo model hadi za mwaka 2023, hizo outdated ni zipi unaongelea maana hata 2013 ni modern tu, sio hizi zilizojaa.
Bei ….kati ya hizo kwa hiyo miaka ambayo gari zote zipo, ni CX 5 tu ndo unaweza kupata kwa hiyo bei.., labda na outlander za 2012. Vanguard za 2012 na 2013 kwa sasa most likely zitaanzia 38