Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Mkuu hii chuma inasimama ngapi mpaka naitia mkononiFor reference:
Mazda CX5 ya 2012 (KE)
View attachment 2918537
ya 2017 second model KF
View attachment 2918538
Engine utayopata ni 2.2 diesel SkyActive kama utaagiza from JP ingawa unaweza pata petrol ila adimu saaana
Kampuni ya mitsubishi na Subaru huwa wanaigana Sana models zao kama ilivyo outlander na foresta 2008.I will stand with outlander, for me naona iko vizur kuanzia consumption yake na maintenance
Uchawi wa Toyota umeanza kuisha polepole sikuhizi wabonywanasukuma ndinga za maanaHafu wabongo wamezipokea kwa. Mikono miwili
Hapo kwenye 25 manMkuu hii chuma inasimama ngapi mpaka naitia mkononi
Mpaka mkononi?Tumeagiza outlander ya mwaka 2009, total imegharimu 21.
Hii Gari huwa naielewa sana nilitaka hata kuvunja ka Premio kangu nichukue hii ila nimeghairi ni SUV ambayo inaonekana haitaki shida,Kuna mwamba anayo DZQ ila inagonga kinoma yaani sina hakika kamaFor reference:
Mazda CX5 ya 2012 (KE)
View attachment 2918537
ya 2017 second model KF
View attachment 2918538
Engine utayopata ni 2.2 diesel SkyActive kama utaagiza from JP ingawa unaweza pata petrol ila adimu saaana
Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya
1. Utumiaji mafuta
2. uimara
3. Speed
4. Kupatikana vipuri
5. Ukisasa zaidi
6. Mwonekano mzuri.
7. Bei zake sokoni
Zote zikiwa za mwaka unaofanana au kutofautiana kidogo tu.
Ngoja tusubiri maoni.
Ila Vanguard kwa mafuta anapita wenzie...
1. Mafuta. Itakua ngumu kujudge kwasababu haujawa specific kwenye mwaka, na engine size. Pia kuna model hapo zinatumia petrol na zingine diesel. Ila Mazda ya diesel 2.2 L itakua inakunywa wese kiduchu.
2. Uimara. Zote nzuri kwasababu za Japan. Wajapan wanajitahidi sana. Ila Toyota hana mpinzani, kisha Mitsubishi na Mazda wanapokezana. Ila still kuna factors nyingi mfano model year, matumizi ya owner akietangulia na service history.
3. Speed ya nini? Ukitaka speed chukua performance cars kama Audi, BM na Benz.
4. Vipuri. Zote unapata. Kariakoo wana spare hadi za Tesla.
5. Ukisasa. Nunua latest. Utaenjoy. Ila uyo bwana outlander outdated kama jina lake.
6. Muonekano ipo subjective. Kama demu tu. Mwingine anapenda shepu la Zuchu mwingine Sanchoka.
7. Izo gari zote bei ni 25 to 30M.
Sa si usaidie kujibu mkuu.Naona hujampa majibu sahihi mtoa mada kwenye baadhi ya maeneo, umekuwa kama unamkosoa wakati amekuwa very specific
Alisema anataka zilinganishwe za miaka sawa. Gari hizi zote utazikuta kwa miaka 2012 - 2013 kwa sababu kabla ya hapa hakukuwa na CX5 na baada ya hapa hakukuwa na Vanguard.
Ameuliza speed akimaanisha kati ya hizo, angetaka sports car asingeainisha kabisa gari hizi tatu. Ila point ni kwamba kati ya hizo ipi ina soeed zaidi…CX5 2.2 D au vanguard yenye cc3500 (2GR) engine ni chaguo sahihi.
Ameuliza ukisasa, kwa hiyo miaka ambazo hizi gari zote zilitengenezwa ungeweza kulinganisha ipo ina ukisasa zaidi…Outlander zipo model hadi za mwaka 2023, hizo outdated ni zipi unaongelea maana hata 2013 ni modern tu, sio hizi zilizojaa.
Bei ….kati ya hizo kwa hiyo miaka ambayo gari zote zipo, ni CX 5 tu ndo unaweza kupata kwa hiyo bei.., labda na outlander za 2012. Vanguard za 2012 na 2013 kwa sasa most likely zitaanzia 38
Huipendei niniPamoja na kwamba siipendi Vanguard, ila huwezi kuiweka kwenye mzani na hizo gari hapo.. hata rav 4 ni bora kuliko hizo gari
Alikua ana options izo Dualis, RVR, X1 nikamsaidia kukataa X1 kabisa. Ila Dualis akaikataa mwenyewe akabakiwa na iyo Mitsubishi.
Kwasababu ni German. Hafu kipato chake average. Lazima angelia.Kwanini ulikataa X1??
Hyo jumla adi unaitia mkononi..Tumeagiza outlander ya mwaka 2009, total imegharimu 21.
Yeah, depends na vitu vingi.Hyo jumla adi unaitia mkononi..
Mkuu Acha waendelee kuchangamsha soko la magari maana kama wote tutaishia kwenye Toyota biashara ya magari itakuwa ngumu hii varieties unayoiona ni biashara inafanyika kuanzia spares na mafundi piaKwa sasa Mazda CX-5 amelikamata soko...
Kama kawaida yetu wabongo mwendo wa kuigana. Upepo wa Dualis ulishakata watu wamegeukia kwenye RVR, ulikuwepo upepo wa Outlander ukakata na sasa watu wamehamia kwenye Mazda CX-5 ila cha ajabu Toyota Vanguard inaendelea kununuliwa tu.😂 Mfalme anabakia kuwa Toyota tu. Wacha wagundue vipengele vya Mazda kama walivyogundua moto kwenye Dualis.
Wanangu kariakoo wamecharuka kununua BMW X1 181..Kwasababu ni German. Hafu kipato chake average. Lazima angelia.