Al-shabaab
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,791
- 619
ni boom na pesa za filed ndo huwa na kiwango kinachofanana kwa wanafunzi wote. ambacho kwa sasa ni 7500 kwa siku na field laki sita na senti kadhaa.
fees na special course requirement huwa zina tofautiana kutokana na course na vigezo ambavyo bodi wenyewe wanajua.
hata fedha ya field hutofautiana kulingana na kiwango cha asilimia za mkopo ulizopata ulichopata. kiwango kinachofanana ni meal and accommodation allowance ambazo ni tshs 7500 kwa siku japo nazo hutegemeana na kalenda ya chuo husika.
jamani naomba mnitaarifu kuhusu suala la mikopo ya heslb nasikia kwamba wametoa majina sasa sina namna ya kuangalia hebu nisaidieni.