Msaada JAMANI kuhusu mkopo unaotolewa na HESLB....!!?

Msaada JAMANI kuhusu mkopo unaotolewa na HESLB....!!?

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
Habari zenu wakuu
naomba kupata ufafanuzi juu ya mkopo unaotolewa na HESLB
je ni pesa ipi ambayo kila mwanafunzi hupewa sawa sawa na wanafunzi wengine ?
ni pesa ipi ambayo hutofautiana kwa mwanafunzi mmoja na mwingine kulingana na fulcut wanazosoma?
nitashukuru sana endapo nitapata ufafanuzi wa mambo hayo
nawasilisha.!
 
ni boom na pesa za filed ndo huwa na kiwango kinachofanana kwa wanafunzi wote. ambacho kwa sasa ni 7500 kwa siku na field laki sita na senti kadhaa.

fees na special course requirement huwa zina tofautiana kutokana na course na vigezo ambavyo bodi wenyewe wanajua.
 
asante sana Ginner kwa maelezo yako mazuri je books&stationary?
 
Last edited by a moderator:
hata fedha ya field hutofautiana kulingana na kiwango cha asilimia za mkopo ulizopata ulichopata. kiwango kinachofanana ni meal and accommodation allowance ambazo ni tshs 7500 kwa siku japo nazo hutegemeana na kalenda ya chuo husika.
 
nimekuelewa mkuu
 
jamani naomba mnitaarifu kuhusu suala la mikopo ya heslb nasikia kwamba wametoa majina sasa sina namna ya kuangalia hebu nisaidieni.
 
Wewe wa wapi??umeskia kitoka kwa bwana wako au??usiturushie stimu na wewe
 
Jamani nimeingia kwenye website ya bodi ya mikopo hakuna jipya na nimeingia website ya chuo cha SUA nilichochaguliwa napo hakuna kitu cha bodi ya mikopo so nahitaji msaada wenu kama unaweza nichekia sio mbaya nimechaguliwa Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness chuo cha SUA na jina langu ni Abubakari Malinza
 
habari za majina ya HESLB zimetoka wap coz kwe tovuti yao hakuna kitu! Msaada jamani kwa mwenye uelewa na hili!
 
Dah!hii nayo kali,hebu endelea kusikia sikia na kutupia uliyo yasikia humu jamvin
 
Back
Top Bottom