Hapo sasa kweli kuna wanaume na wavulana.Akwendeeee!!! Mwanaume mpaka ana account Jf anakuwaje domo zege
Unamjua vizuri Raymundo ka sijakoseaKuumba nini mkuu mbona mafumbo. Hebu nichane nielewe
Ninao wengi sijui unamtaka yupi?Namtaka rafiki yako
Najua humu kuna memba anaitwa RaimundoUnamjua vizuri Raymundo ka sijakosea
Ndo hivyo tena, halafu ukisema ukweli wanajinunishaHapo sasa kweli kuna wanaume na wavulana.
Otea tu maana hata humu kaingiaNinao wengi sijui unamtaka yupi?
Ooooh, je unajua haiba yake??Najua humu kuna memba anaitwa Raimundo
Hapo sasa kweli kuna wanaume na wavulana.
Hivi hamfahamu kua kila mtu ana udhaifu wake. Mm udhaifu wangu ni huo kama nimefanya vibaya basi Mungu ndio kaniumba hivyoNdo hivyo tena, halafu ukisema ukweli wanajinunisha
Ndio hua ni mchangiaji mzuri,anatoa ushauri mzur kiufupi hana tabia mbayaOoooh, je unajua haiba yake??
Haisaidii hata wakijinunisha cha muhimu ujumbe unawafikia.Ndo hivyo tena, halafu ukisema ukweli wanajinunisha
Ushanuna tayari, Nisamehe jamani!!!Hivi hamfahamu kua kila mtu ana udhaifu wake. Mm udhaifu wangu ni huo kama nimefanya vibaya basi Mungu ndio kaniumba hivyo
HahaaaNdio hua ni mchangiaji mzuri,anatoa ushauri mzur kiufupi hana tabia mbaya
Wee hebu toka hapa usimshirikishe mungu na mambo ya ajabu.Hivi hamfahamu kua kila mtu ana udhaifu wake. Mm udhaifu wangu ni huo kama nimefanya vibaya basi Mungu ndio kaniumba hivyo
Sitaki uchochezi ujueHaisaidii hata wakijinunisha cha muhimu ujumbe unawafikia.
Hiko ndio kitu nimenyimwaga yaani sijuagi kuoteaOtea tu maana hata humu kaingia
Nimemeishia fomu two mwaka jana.how old ar u?
Kumbe muogaaeSitaki uchochezi ujue
Ngoja niwaache, sio kwa ukali huoWee hebu toka hapa usimshirikishe mungu na mambo ya ajabu.
Eti umeumbwa hivyo lool