Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #361
Mimi sio Monday narudia msisababishe wakaniunganishia Aidii zanguHehehe
Moyo wa Mondray zidi kumsukuma wafulani
Potezea sio mpaka kila mtu amuone barafu wa koo languHahahaaa! Umemuita kiaina eee. Lool
Hahaha
Hehehe
Moyo wa Mondray zidi kumsukuma wafulani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nilianza mtilia mashaka kuanzia siku alipo jitambulisha, na niliamua kumfungia camera rasmi...[emoji12]
Yaani hua wakiwa hawapo hao watu najihisi mpweke sana. Ila usser yupo Iceman ndio kapotea toka alhamisIceman 3D jamani Kapotelea wapi tena!!! Sijamsoma siku tano hizi mjue
Maandalizi bado mapema mnooo, maana sijui hata huyo mlengwa yukoje waweza mkuta ni wa matawi halaf shemej yangu akawa na hela ya mihogo tuHahahaa! Lazima kiwe na mshindo aisee hivyo anza maandalizi mumy
Yaani mimi ndio maana kombolela nilikua nabambwa mapema yaani sijui kujifichaHahaha huwa unajisahau ndio maana unadabwa mapema
Hahaha
teheheheh shemela bwana , unaogopa nn basi na ww ,lkn toka lini umebadilisha namba mm naifaham ya tigo ,anyway basi tufanye halopesaSitumii tigo tafathari thani
Yupo humu humu shem wewe kagua vzr utampataMaandalizi bado mapema mnooo, maana sijui hata huyo mlengwa yukoje waweza mkuta ni wa matawi halaf shemej yangu akawa na hela ya mihogo tu
Yaani ushwahi kujichunguliaMimi sio Monday narudia msisababishe wakaniunganishia Aidii zangu
Nimemuona kitamboPotezea sio mpaka kila mtu amuone barafu wa koo langu
noo V money ndio iko bombateheheheh shemela bwana , unaogopa nn basi na ww ,lkn toka lini umebadilisha namba mm naifaham ya tigo ,anyway basi tufanye halopesa
Yaani mimi ndio maana kombolela nilikua nabambwa mapema yaani sijui kujificha
Rayavanny from wcb haa haaSure my boy mimi sio mond bin Ray am Rayvanny boy.
Kaenda wapii, huwa namiss uwepo wake mnoooYaani hua wakiwa hawapo hao watu najihisi mpweke sana. Ila usser yupo Iceman ndio kapotea toka alhamis
Hahahaaa! Nshapotezea mwayaPotezea sio mpaka kila mtu amuone barafu wa koo langu
tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa lolnoo V money ndio iko bomba
Ulikuwa unaficha kichwa unaacha kiwili wiliYaani mimi ndio maana kombolela nilikua nabambwa mapema yaani sijui kujificha