Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

MWENYE BABY WAKE AJE AMCHUKUE BASI Paprika njoo unisaidie huku,hivi huyu jamaa kwa id yake ilee si baby ako huyu! Candyscorpion nifumbulie fumbo. Kijana atanipotezea madanga ya ukweli huyu
 
Back
Top Bottom