teheheheh Serengeti hahahahWalaa! Mtoto sana huyoo
Haa haa at anadai anata kuitakasaMsalit huyu ID mpya anataka na baby mpya
Hao watoto hawachelewi mkitibuana tu keshakuanzishia threadteheheheh Serengeti hahahah
Nani mtoto wewe bibieHao watoto hawachelewi mkitibuana tu keshakuanzishia thread
Kule juukwa la sportmlifanya nn
Ngoja ivuga aje sasaMi niko tayari nawasubiria
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hao watoto hawachelewi mkitibuana tu keshakuanzishia thread
Si amseme tuanze maandamano sasaNawasubr tu hawa wengne waje
Tuanze maandamano ya kwenda
Kusaka shem wetu huyu alie andikiwa
Huu huz
Sakayo,numbisa,emmyta
Watakua washaur nasaha
Wakwenda kumshawishi huyo
Shem ili akubali
Ko unafikiri ni nani pacha
Hao watoto hawachelewi mkitibuana tu keshakuanzishia thread
Aah hafaiHaa haa at anadai anata kuitakasa
Id yake mpya na papuch mpya
[emoji13] [emoji13] [emoji13]
hahahhh polen sanaKule juukwa la sport
Hali haikua nzur maana
C unajua tena wafaransa psg
Waharbu ucku wa tu aisee
Yule refaree mnoko kweli
Heee shida ilikuwa ni niniNafkir wakat mods wanashusha
Rungu kwang nae alipatkana
Maana nlikua nae jukwaa moja
Wakat napatana na rungu la
Invisible
Wapi hukohahahah sio mm huyo shemela wangu ntarudi kule my wiii
AiseeeeKama alipatikana na mods
Nafkir ataachiwa kesho
Maana me nmeachiwa leo
Kutoka hyo Thursday
Wanagombea msichana na Saint IvugaHeee shida ilikuwa ni nini