Asante kwa ushauri, ngoja mondray siku akija aje kunisaidiaPambana mwanaume
Ila wewe daaab ngoja nivumilie tu maana hata yesu alivumilia msarabaKuna watu wakikudondokea vishindo mpaka kwenye kona zote za moyo,sasa haka kajamaa kamenipa mshtuko wa sura(make up zote zimefutika kwa mshangao)
HahaaaSijui kamekunywa viroba vya wapi
afu ukute ni kiba100Yaan katoto kadogo kanataka kunichungulia uwiiii
Mimi nimeishia fomu twu miaka isiyojua watu.Mwandiko wako
Halafu unapenda kumtia ndimu ujueOngeza nyama kwa hiyo point
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Oleleeeeeeeeeee mondray
Kutusumbuaaa kooteee
Kumbe unammendea bibie numbisa
Alaf c ulishanambia kuwa huyu
Numbisa n dada yako the the
Na kweli unampenda mpaka watuona na sie wanaume wenzakoNasema hivi Nampenda numbisa hadi wasichana wa home nawaona kichefu chefu
(In mr blue voice)
Koma kabisa mm sio alikiba 100 ni Mond 1000afu ukute ni kiba100
Ukimuona mwambie nammissSijui kapotelea wapi aisee
Mimi nimeishia fomu twu miaka isiyojua watu.
Kwanini etiNa kweli unampenda mpaka watuona na sie wanaume wenzako
Mi pia umenisahauHahahaa shangaa na wewe
Hata hivyo ng'ombe hazeeki utamuMmmhh mie wa la nne enzi za mkolon utanisumbua wewe
Duuuu dada sio kwa michambo hiyomtoto mzuri ee ntakupa ice cream natengenezaga jukwaa la mapishi halafu uende shule,soma mdogo wangu,maisha yapo tu huko fb wanakudanganya sana
hahha umetishaaa ...G
Koma kabisa mm sio alikiba 100 ni Mond 1000
Hahaaa! Nadhani yuko shamba anapalilia.Ukimuona mwambie nammiss
Hivi unamjua, mbona umemdogoisha hivyoKuna watu wakikudondokea vishindo mpaka kwenye kona zote za moyo,sasa haka kajamaa kamenipa mshtuko wa sura(make up zote zimefutika kwa mshangao)