Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Pambana mwanaume
Asante kwa ushauri, ngoja mondray siku akija aje kunisaidia
Kuna watu wakikudondokea vishindo mpaka kwenye kona zote za moyo,sasa haka kajamaa kamenipa mshtuko wa sura(make up zote zimefutika kwa mshangao)
Ila wewe daaab ngoja nivumilie tu maana hata yesu alivumilia msaraba
 
Hahahaa shangaa na wewe
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]


Oleleeeeeeeeeee mondray
Kutusumbuaaa kooteee
Kumbe unammendea bibie numbisa

Alaf c ulishanambia kuwa huyu
Numbisa n dada yako the the
 
Back
Top Bottom