Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Mods wanapaswa kufanya Vetting kabla ya kumu Accept mtu ili kuepuka kina bashite kama hawa
 
Utakuwa umemtamani tuu huja mpenda,
Ebu ongea ukweli wako kijana ;umempenda au umemtamani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Utakuwa umemtamani tuu huja mpenda,
Ebu ongea ukweli wako kijana ;umempenda au umemtamani[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
NAMPENDA HERUFI YAKE INANZA NA ..........
NAOGOPA KUANDIKA
 
Nimeipenda hiyo shemela
I wish kuldu be Yu
anza hivyo shemela halaf usitaje jina lake hapa mwingine hapendi uwe unamtext mara kwa mara kama una no yake unampigia halaf ubadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…