Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Zamani jamii forum ilikuwa ni for great thinkers. Hivi unavosema umempenda unaakili kweli? Sema umependa jina analotumia. Sidhani kama unafahamu physically.
Somehow umeongea fact mkuu
 
Hapo juu ya kichwa chako ndo shida hebu jiangalie vizuri
Mkuu nichunie basi kiki zimeisha zipo gia tu. Kesho uwahi mapema kiki mpya zitakua zimeletwa.
Period. Snipes pacha msaada hapa
 
Huoni raha kuwa jamii forum bila kumtext yeye sawa...

Kama wewe ni domo zege huo ujasiri wa kumtext unatoa wapi...

Wewe sema unatafuta demu...
 
Huoni raha kuwa jamii forum bila kumtext yeye sawa...

Kama wewe ni domo zege huo ujasiri wa kumtext unatoa wapi...

Wewe sema unatafuta demu...
Kwani hujawahi ita demu lakin ukashindwa umuanzaje kumwambia ukweli
 
Back
Top Bottom