Tatizo sio wwNdio domo langu hilo wacha nitese nalo maisha yenyewe haya ya kusaka vyeti vy bashite kuliko pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio wwNdio domo langu hilo wacha nitese nalo maisha yenyewe haya ya kusaka vyeti vy bashite kuliko pesa
Sawa ni weweTatizo sio ww
Zamani jamii forum ilikuwa ni for great thinkers. Hivi unavosema umempenda unaakili kweli? Sema umependa jina analotumia. Sidhani kama unafahamu physically.Sijamkashifu mtu. Stick to the point dude
Hapo juu ya kichwa chako ndo shida hebu jiangalie vizuriSawa ni wewe
Somehow umeongea fact mkuuZamani jamii forum ilikuwa ni for great thinkers. Hivi unavosema umempenda unaakili kweli? Sema umependa jina analotumia. Sidhani kama unafahamu physically.
Nikimtaja tu hapa ignoa list itanihusu na sitaki nimpotezeMtaje usaidiwe...
Kama kawaida yako kunimanda mandaTwaweza 3/4 vichaaa grafu inapanda
Hapana joh Chikara ni dada yangu huyo nam respect sanaTafadhali Asiwe CHIKIRA MTABARI ndugu yangu kutoka facebook.
Kwani hujawahi ita demu lakin ukashindwa umuanzaje kumwambia ukweliHuoni raha kuwa jamii forum bila kumtext yeye sawa...
Kama wewe ni domo zege huo ujasiri wa kumtext unatoa wapi...
Wewe sema unatafuta demu...
Sijawahi kuwa mjinga kiasi hicho... Mimi naongea tu na lazima akae...Kwani hujawahi ita demu lakin ukashindwa umuanzaje kumwambia ukweli
Hongera hicho ni kipaji binafsiSijawahi kuwa mjinga kiasi hicho... Mimi naongea tu na lazima akae...
Ahsante kwa hilo, ila I have a feeling wewe ni Mondray....nipingeHapana joh Chikara ni dada yangu huyo nam respect sana
Nakupinga mkuu.Ahsante kwa hilo, ila I have a feeling wewe ni Mondray....nipinge