Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Haya mwenzetu unaependwa utakua umeshahisi kua ni wewe!!! Mtongoze basi jamaa!!! Eti yeye domo zegeee [emoji3][emoji3]
 
Umepungukiwa vigezo muhimu sana vya uanaume "UJASIRI" na "KUJIAMINI".
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
kama wewe ni mlemavu wa mdomo pole sana kijana 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom