Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

huyu hakuna lolote wameshashikana ugoni wamemwagana ..
mahonda nilishamzoezesha mziki mnene kaenda kwa usser mla chips wiki tu kakimbia
mziki mnene gani wa maneno au
Af me nshakuzoea na maneno
Yako hata mahondaw anajua
Hapa n debe tu unapga kufrahisha
Uma

Af unataka unashadadia tuachane
Hata kwa ndoto haitokei
 
Back
Top Bottom