Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Lazima aone wivu kila siku anakula mitoso tu
Yaan kaona tu wivu kisa
Nammilik mtoto mzur mahondaw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan kaona tu wivu kisa
Nammilik mtoto mzur mahondaw
Ah..si ndo huyu wanamwita cjui sky is the limitMkuu mtaje hapa usiogope
Nionee huruma kipenzi changuLazima aone wivu kila siku anakula mitoso tu
Haa haa haa sasa umeshindwanguvu gani unazozihitaji... ujue mwenzako moyo wangu unakusukuma kwa sasa hausukumi damu tena
Ngoja niliziwie povu lililotaka kutoka maana omo ikasome kwa hilo povu
Nionee huruma kipenzi changu
Sky eclat auAh..si ndo huyu wanamwita cjui sky is the limit
Ndio ukome ungemtaja mapema ungekuwa ushazowea.Ninayempenda mtata hatari
Hahaaa uzuri mapicha yako hua nayahifadhi kwa GaraleyUnabahat siku hizo sina albam yangu,ninhekujazia mapicha humu
Bora tu umemwone hurumaNilimuonea huruma yangemlipukia
Najua ni rafiki yako huyo mnauza nae dagaa za mwanza pamoja so nakuomba nibembelezeeNdio ukome ungemtaja mapema ungekuwa ushazowea.
Anatutia aibu wanaume huyuPambana mwanaume
Mm sio mwoga majameniBora tu umemwone huruma
Maana na alivo mwoga tunge mkosa
Kabsa
Mitoso ipi?Lazima aone wivu kila siku anakula mitoso tu
Si umuona kabaki kulia lia na vineno vya kitoto toto.Bora tu umemwone huruma
Maana na alivo mwoga tunge mkosa
Kabsa
Sasa kama binti mwenyewe ndo hivyo jamani hadi ATP zinapungua mwiliniAnatutia aibu wanaume huyu
Hebu mtafte invisible mwambie apite huku
Basi naona nyie wote mnampa kichwa sawa tuSi umuona kabaki kulia lia na vineno vya kitoto toto.
Hana hata maneno mazito ya kushawishi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahaaa
Hivi yuko serious au anatania
Haisaidii! Bora tupate wa kule kwetu rorya anaweza kuwa na ubavu ila sio wewe.Najua ni rafiki yako huyo mnauza nae dagaa za mwanza pamoja so nakuomba nibembelezee
Khaaaa jamaaanKuuumbeeee!! Ndio nimethibitisha.