hahahah pole sanaNinayempenda mtata hatari
Sakayo njoo unitetee mwenzio
Ahsante. Utani unaniponza mwenzio. Namwambia nampenda anachukulia jokeshahahah pole sana
Mitoso ipi?
Kwa nani?
Jamani kama mnadhania ni utani basi acheni mawazo hayo. Kiukweli nampenda kutoka moyoni na yote mnayoandika siyachukulii kiutani hata kidogo. I really loving her
Candyscorpion. Rafiki tu nilikua naye ajili niwe nampa movies.Kwa paprika,candcorpion
Siku moja utaelewa kua haukua utani, kwasasa ni sawa useme hivyoACHA HIZO WEWE,USI FALL IN LOVE NA MTU USIE MFAHAMU,NAONA KAMA JOKES TU HAPA
Okey naisubiria hio siku ila maisha ya humu wala siyachukulii serious.Siku moja utaelewa kua haukua utani, kwasasa ni sawa useme hivyo
Tatizo Mi sipendi michanganyoHeeee!!! Bibie unajua vle moyo
Wang umelazwa kwako!
Ustake kunipeleka icu please
Narudia tena tega sikio vizuri... Soon you will be taken by suprise..Haa mi mbona tayari huna habari???
am no longer single mwenzio nishapata wa kumtake care mie sina shida na wahuku
kwanza humu nawaonaga waigizaji tu sijui kwanini
Hahaaaaa wapenda nao hao duuhTatizo Mi sipendi michanganyo
Nimekufatilia nyendo zako nikaona kabisa unamezea mate wengine
Kiroho safiiiiiii nikajiengua
Wewe mbona unakuja kuchungulia watuNarudia tena tega sikio vizuri... Soon you will be taken by suprise..
Hiyo ni dalili ya baleheHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Mm nikiisema nimependa ujue nimependa kweli na hua sitanii labda hao wengine ninaosemaOkey naisubiria hio siku ila maisha ya humu wala siyachukulii serious.
Halafu yako ni dalili ya kuvunja ungoHiyo ni dalili ya balehe
tehTatizo Mi sipendi michanganyo
Nimekufatilia nyendo zako nikaona kabisa unamezea mate wengine
Kiroho safiiiiiii nikajiengua
HeheheAnatutia aibu wanaume huyu
Hebu mtafte invisible mwambie apite huku
Mmmh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ww unafkir mpaka kamuanzishia
Uz kuna jokes hapa
Nafkir pm zmekataa kureplay
Ndo akaja kuanzisha uz