Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #41
Ahsante shemela nakukubari.anza hivyo shemela halaf usitaje jina lake hapa mwingine hapendi uwe unamtext mara kwa mara kama una no yake unampigia halaf ubadilike
Hahaaaa lini shoga akaingia WCB hawajui tusawa shemela hilo jina wanajua huyo mtu
Daah bro ur awesome.Komaa naye !!! Huwezijua huenda na yy anasubiri kumpata mtu kama ww ila tuu anashaangaa mbona haambiwi kile ww una feel.
Umejuaje ni mdada?Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana yaani ukichukua domo la diamond, tifah na Nilan ndio unapata domo langu.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
niongee hapa kweli tutaongeaAhsante shemela nakukubari.
Enhee nibadilike na nini
Hahaaaa twende chimbo letu la papaso kule chitchat au pmniongee hapa kweli tutaongea
Weka kiswahili basiThere are three things which are infinite in the we live
1. Universe
2. Stupidity
3. Poverty
Sijatukana mbonaUkisha mtukana baba na mwana kiu yako inakuwa imeisha? Acha ujinga ficbuku wewe
Mwandiko wa mdada na mvulana vina sound tofauti.. kama ulipitia Psychology hutashindwa kujua vituUmejuaje ni mdada?
Daah ngoja nisubirSubiri yeye atakuambia....
Unasaka kiki[emoji15]Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana yaani ukichukua domo la diamond, tifah na Nilan ndio unapata domo langu.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Weka vyeti.Mwandiko wa mdada na mvulana vina sound tofauti.. kama ulipitia Psychology hutashindwa kujua vitu
Vya bashite ulishavipata kwanza hata leaving yako tu ya form 4 hujapata.Weka vyeti.
Kiki ipo wapi sasa au wewe harmorapaUnasaka kiki[emoji15]
Zege domo[emoji15]Kiki ipo wapi sasa au wewe harmorapa
Ndio domo langu hilo wacha nitese nalo maisha yenyewe haya ya kusaka vyeti vy bashite kuliko pesaZege domo[emoji15]