ujanja upi tena dadaAaah wapi, we ulijua nimehamia kwa Emmy bhana. Ko unataka kujiona mjanja sio
usijal Dada kawaida tu yaanJamani stress za nini tena jamani, mbona wantisha
[emoji23][emoji23]Kamuiga Husna Ujue
Alijitambulisha mara ya piliii
Si unavyosema unamchunga babuujanja upi tena dada
Si alisema huwa mnachat au nilielewa vibaya
Nimeitikia wito ila nimekataa ombi lakeNumbisa hebu msikilize huyo mtoto wa mwanamke mwenzio lakini
who's your shemela aliyepigwa ban? Mambo mengi yanatupita sometimes siku tatu hujaingia humu ndani.hapana huyu n shemela wangu amepigwa ban
Aaah, sijui!!!usijal Dada kawaida tu yaan
Hahaa! Wazee wajanja wakizidiwa wanakimbilia mlimani kufanya maombiPoa bhana, kama ni mzima ndo amani yangu. Nlijua kaenda na mafuriko ya jiji la Bashite
shemela wangu mm jamaanwho's your shemela aliyepigwa ban? Mambo mengi yanatupita sometimes siku tatu hujaingia humu ndani.
Hahahaaandio mana Dada unakua na mawazo nimeelewa sasa
nakuchungia babu ata kule kwenye jukwaa letu pendwaSi unavyosema unamchunga babu
AiseeNdio alijitambulisha kule akijiita mgeni nikamgundua
hahahahh Dada eb hurumia mbavu zangu na hii ni kwaresma ningejinywea mbili tatu mm nipoteze hizi stressAaah, sijui!!!
Ila usijali tuko pamoja mamy si unajua tena, stress ni sehemu ya maisha Ila usiziendekeze.
Nakupenda saaana, mtu akikutibua nishtue Ujue nina sura ya babangu
acha tu huyo Babu sijui kampa nn dada angu yaan ananitesea hajui tuHahahaaa
DuuuNimeitikia wito ila nimekataa ombi lake
HeheheHahaa! Wazee wajanja wakizidiwa wanakimbilia mlimani kufanya maombi
Asantenakuchungia babu ata kule kwenye jukwaa letu pendwa