Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Aaah, sijui!!!
Ila usijali tuko pamoja mamy si unajua tena, stress ni sehemu ya maisha Ila usiziendekeze.

Nakupenda saaana, mtu akikutibua nishtue Ujue nina sura ya babangu
hahahahh Dada eb hurumia mbavu zangu na hii ni kwaresma ningejinywea mbili tatu mm nipoteze hizi stress
 
Back
Top Bottom