Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
poa kabisaPoa
Vipi
Umerudi tena dr love pimbitwende wote
Nipo my emy.. Nimekuambia uni tafute chemba mbona hujanitafutaaa?Umerudi tena dr love pimbi
Usipendepende hovyohovyo humu.Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ana maziwa poaAcha wake za watu, mke wa mtu sumu
Acha uzito ongea wwwHelooooo Jf