Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Usipendepende hovyohovyo humu.

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Acha uzito ongea www
 
Hahaha tatizo alipotokea, mi sijajuaga kama kuna kuonana humu, najua kuna kupitia threads mbalimbali na kipenzi changu ni jamii intelligence, sa kama kuna kumuona mtu hadi ufikie ku fall kabisa, basi mi ntawa mgeni zaidi yako mgeni wa FB! Afu sa unawezaje kutuambia watu million unampenda mtu aafu ushindwe kumwambia ye mtu m1? Are u serious mzee? Mtumie msg km uvotuma huku. Jpo hapa pia umefikisha ujumbe km kuna unaemtxt kila siku kashajijua, km u txt more than 1 now that worse!
 
Nenda kawaambie wazazi wake kwakuwa walimzaa wao wataona kama inafaa mtoto kupendwa na mtu asiyekuwa na malengo nae
 
Wewe dogo unataka kusaidiwa kutongoza au ??? Acha ujinga mambo hayo Fanya mwenyewe , hapa tunajadiri mambo ya msingi sio ujinga ujinga tu, nyie ndo mnapoteza muda muda kwenye mambo yasiyo na ustawi pumbavu !
 
Back
Top Bottom