sabasjacob7
Member
- Jul 6, 2016
- 11
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chemba kwa nini hivyo vya chemba ongea hapa hapa.Nipo my emy.. Nimekuambia uni tafute chemba mbona hujanitafutaaa?
Au unadhani natania
Zaman jf palikuw panaogopwa, lakin sikuhizi ndio sehem ya wajinga kukimbilia, kwa nin kusiwe na vigezo vya kujiunga humu?Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Kama umeweza kutwambia wana jf kilichoko moyoni mwako ,kwann ushindwe kumweleza huyo Dada ,piga moyo konde uchawi hauji kwa mentali ,funguka tu mweleze hisia zako,wewe utakavyo chelewa wengine ndo wanajiandaa .Helooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Unamaanisha wajinga kama weweZaman jf palikuw panaogopwa, lakin sikuhizi ndio sehem ya wajinga kukimbilia, kwa nin kusiwe na vigezo vya kujiunga humu?
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ahsante sana kwa ushauriKama umeweza kutwambia wana jf kilichoko moyoni mwako ,kwann ushindwe kumweleza huyo Dada ,piga moyo konde uchawi hauji kwa mentali ,funguka tu mweleze hisia zako,wewe utakavyo chelewa wengine ndo wanajiandaa .
Yap, wajing kam mim sabab sikuw na haj ya kujib post mbovu kam hiiAhsante sana kwa ushauri
Sasa kipi kimekuleta na kuanza kuambia wengine wajinga si ungepita kimyaYap, wajing kam mim sabab sikuw na haj ya kujib post mbovu kam hii
Nilishafunguka wewe ndio unatakiwa unijibuuuChemba kwa nini hivyo vya chemba ongea hapa hapa.
Pah oneAhsante sana kwa ushauri
Watoto kama nyie shida Sana, akina harmo rapper hamtaisha, sikujua kama nabishan na ray van toyNilishafunguka wewe ndio unatakiwa unijibuuu
Sidhani kama ni vizuri kukosea mawazo ya mwenzako ,kikubwa ametoa jambo lake kama waweza mpa ushauri mpe ,lakini Kama hapana potezea ,siyo kumkashimu mwenzio,je na wewe kesho ukihitji ushauri alafu ukajibiwa hivyo ,ulaumu???remember this is jamii forumYap, wajing kam mim sabab sikuw na haj ya kujib post mbovu kam hii
Dogo mbona umepuyanga.. Mm hapa namuwek sawa emmy anipe mambo naona ww unaingilia kati.. Utapasuliwa dogo kaa pembeniWatoto kama nyie shida Sana, akina harmo rapper hamtaisha, sikujua kama nabishan na ray van toy
Mwambie wew, mi nikiwaambia wanatoa povu, mara wananitishia kunidundaHv kuna binadamu wa sampuli hii mpaka karne hii ?
Unapenda picha ?