Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Penye miti hakuna wajenzi, nadhan hata samaki akiwa baharin hutoa chozi lakin kuongea hawez coz maji yataingia mdomon teh nawe chagua moja kuendelea kutoa chozi kisa umempenda au uongee licha ya maji kuingia mdomon
 
We kujiunga siku tatu tu umempenda mtu ukikaa wiki je tulia fanya yako wasichana watakupoteza
 
Back
Top Bottom