mwendwa mgeta.
Member
- Dec 4, 2013
- 7
- 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umempenda au umemtamani acha masihala watakuua Fanya kazi kijana watajileta wenyewe na si kwenye mtandaoHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Ahsante kwa ushauri mkuuUmempenda au umemtamani acha masihala watakuua Fanya kazi kijana watajileta wenyewe na si kwenye mtandao
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kabla ya kukupa msaada, tuambie wewe ni wa chama gani. Usije kuwa ni kutoka upinzani.
Mkuu JamiiForums Invisible hii ni haki kweli kudharilishwa hv na kutukanwa. Naamini hamna upendeleo naomba sheria ifuate mkondo
Lengo lako nn hasa mkuu kuleta huu uzi
Wewe mtoto ni kilaza na humu sio sehem ya vilaza peleka swali lako kule Insta. Maaana ndio saiz yenuHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Sawa ili angalia usipewe ban mkuu kwa kumkosea heshima member mwenzioWewe mtoto ni kilaza na humu sio sehem ya vilaza peleka swali lako kule Insta. Maaana ndio saiz yenu
Sent from my HUAWEI VNS-L22 using JamiiForums mobile app
Nitumie namba ya huyo dada ,,, weekend ijayo unakulaHelooooo Jf
Aise toka nimejiunga juzi humu jf nimemuona humuu daa hatarii.
Kanivutia sana nimempenda sana.
Tatizo ni kitu kimoja mimi ni domo zege sana
Daah kaniteka ubongo wangu mimi, sioni raha kuwa Jf bila kumtext yeye. Nampenda sana.
Nampenda ila nashindwa kumuambia yaani hata kumtaja nashindwa.
Tafadhari sana nishaurini nifanyaje wakuu, nategemea msaada wenu.
By mgeni kutoka Fesibuku
Rayvanny
Haupo siriaz mkuu yaani nikupe mali ninayoitafutaNitumie namba ya huyo dada ,,, weekend ijayo unakula