Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Kama umejiunga na JF juzi unawezaje kuweka color maandishi, kubold, italicised,n.t.c kama nilivyoona kwenye thread zako nyingine??[emoji1].....wewe siyo mamluki kweli???[emoji30]
 
Mkuu mimi natumia pc na kwenye pc. Halafu ninaekewa microsoft office so haikunipa shida nilikua naangalia Tool bar basi mm napachika tu. In short nina siku 2 humu jf but nimepewa uxpert kozi vingi havijanisumbua
 
Bora wewe umeshindwa kumwambia, mi niliyempenda nimejitahidi kumweleza ya rohoni lakini ameshindwa kunikubalia.
Nafikiria kumloga lakini namhurumia asije teseka kwa ajili yangu...labda nimtaje tu
 
Mkuu mtaje hapa usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…