Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Moyo wa Mondray msukume NumbisaJamani kama mnadhania ni utani basi acheni mawazo hayo. Kiukweli nampenda kutoka moyoni na yote mnayoandika siyachukulii kiutani hata kidogo. I really loving her
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moyo wa Mondray msukume NumbisaJamani kama mnadhania ni utani basi acheni mawazo hayo. Kiukweli nampenda kutoka moyoni na yote mnayoandika siyachukulii kiutani hata kidogo. I really loving her
Numbisa hebu msikilize huyo mtoto wa mwanamke mwenzio lakiniSakayo njoo unitetee mwenzio
Kumbe hajui ni nani anayempenda!!!Kwa paprika,candcorpion
Si alisema huwa mnachat au nilielewa vibayaACHA HIZO WEWE,USI FALL IN LOVE NA MTU USIE MFAHAMU,NAONA KAMA JOKES TU HAPA
Sio kwa kujitetea huko jamaniCandyscorpion. Rafiki tu nilikua naye ajili niwe nampa movies.
Paprika. Kwasababu ya kapuku maana kule msichana ukiingia unagawiwa. So nikatupiwa nm tulikua tunafake maisha tu
Daaaah, roho sukuma maishaSiku moja utaelewa kua haukua utani, kwasasa ni sawa useme hivyo
Hahaaa we acha tu atanipa presha huyu mremboSio kwa kujitetea huko jamani
Daaah yaani kanibamba kila kona ya mwli roho na moyo wanguDaaaah, roho sukuma maisha
Hebu tumia lugha ya tarakimuHahaaa we acha tu atanipa presha huyu mrembo
HeheheHalafu we mchokozi ujue.
Ngoja babu apite nikusemee
Najua fika ila nilishangaa ulivyosemaHehehe
Ujue mie wa kike Emmy
Ulikuwa hujastuka eeehKuuumbeeee!! Ndio nimethibitisha.
Alijitambulisha mara ya piliiiMmh aiseee sijui tu kosa langu labda kwenda kumkaribisha kule jukwaa la utambulisho
Jina lako limekaa kiumeHehehe
Ujue mie wa kike Emmy
Si ameolewa auSio kumkula tu mimi namuweka ndani kabisa nampeleka kwa mama hukoooo muzye akale dagaa na migebuka
Tarakimu zipi bibieHebu tumia lugha ya tarakimu
Ko unataka kusema nini na wewe!!! Acha wivu
Hii hatari aiseeHahaaa we acha tu atanipa presha huyu mrembo
Nilikuwa bado sijaling'amua hili, ndio nimelithibitisha leo.Ulikuwa hujastuka eeeh
PoleeeeDaaah yaani kanibamba kila kona ya mwli roho na moyo wangu