Msaada: Jamani namuota sana Rais Magufuli

kwanza jitafakari maisha yako yapoje mabaya au mazuri kama mabaya na huna hela kama mm hiyo ni kawaida tena wengi wanamuota
ila kama maisha yako mazuri jiandae kutumbuliwa
 
Hahahaaa,boya wewe
 
Mkuu nadhani hili limekua ni tatizo kubwa Sana kwangu,Hadi nafikia uamuzi kuweka uzi huu humu ndani nimewaza mengi!!
 
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.

Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Punguza kutumia K-vant
 
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.

Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Unamuota anasema nileteeni Bwana uber
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…