Msaada: Jamani namuota sana Rais Magufuli

Msaada: Jamani namuota sana Rais Magufuli

kwanza jitafakari maisha yako yapoje mabaya au mazuri kama mabaya na huna hela kama mm hiyo ni kawaida tena wengi wanamuota
ila kama maisha yako mazuri jiandae kutumbuliwa
 
ngoja nijribu kutafsiri
Hii inaonyesha siku si nyingi uchumi wako unaenda kuteteleka vibaya usipo kazana kufanya kazi.lakin pia biashara zako zitayumba sana.na kama unatarajia biashara ya kilimo acahana na matikiti.usijaribu kufuga kuku kwani inonyesha watakufa.na mwisho naona kama mwenye nyumba atauza nyumba yake .na mnunuzi anataibomoa na kijenga stor ya kuhifadhia mizigo yake.pia naona kama mahusiano yako ya kimapenzi yataenda kudhoofika na huenda ukapigwa chini kwa style ya kukudharirisha.kwa upande wa wanaokidai watakushupalia sana.na wengine watakuja kuchukua vitu vyako vya ndani


si ndiyo wanavyodanganyaga kama hivyo?

Hahahaaa,boya wewe
 
Omba sana,,,hiyo ndoto inauhusiano na nyota yako


Omba kuifuta hiyo ndoto

Pia mwalimu wakasege kawahi kufundisha kuna watu wameshikiliwa na madhabahu iliyo juu( yaani sio ya mchezo mchezo ya hawa wachawi wadogo), akasema dalili zake ni kuota ndoto uko na wakuu mbali mbali. Mwingine anaota kabisa yuko na Obama au Trump. So unahitaji kuomba sana mdogo wangu


Sidhani kama kuna haja ya kumkebehi mtoa Mada,
Mkuu nadhani hili limekua ni tatizo kubwa Sana kwangu,Hadi nafikia uamuzi kuweka uzi huu humu ndani nimewaza mengi!!
 
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.

Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Punguza kutumia K-vant
 
Jamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.

Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Unamuota anasema nileteeni Bwana uber
 
Back
Top Bottom