Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
ACHANA NA HAO CDM NYUMBANI KUMENODA,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nijribu kutafsiri
Hii inaonyesha siku si nyingi uchumi wako unaenda kuteteleka vibaya usipo kazana kufanya kazi.lakin pia biashara zako zitayumba sana.na kama unatarajia biashara ya kilimo acahana na matikiti.usijaribu kufuga kuku kwani inonyesha watakufa.na mwisho naona kama mwenye nyumba atauza nyumba yake .na mnunuzi anataibomoa na kijenga stor ya kuhifadhia mizigo yake.pia naona kama mahusiano yako ya kimapenzi yataenda kudhoofika na huenda ukapigwa chini kwa style ya kukudharirisha.kwa upande wa wanaokidai watakushupalia sana.na wengine watakuja kuchukua vitu vyako vya ndani
si ndiyo wanavyodanganyaga kama hivyo?
Ooh mkuu ilo pepo kemea
Ivi hauna vitu vya kuota mpaka uote vitu vya ajabu namna io?
Kina sasha obama huwaon uwaote?
Mkuu nadhani hili limekua ni tatizo kubwa Sana kwangu,Hadi nafikia uamuzi kuweka uzi huu humu ndani nimewaza mengi!!Omba sana,,,hiyo ndoto inauhusiano na nyota yako
Omba kuifuta hiyo ndoto
Pia mwalimu wakasege kawahi kufundisha kuna watu wameshikiliwa na madhabahu iliyo juu( yaani sio ya mchezo mchezo ya hawa wachawi wadogo), akasema dalili zake ni kuota ndoto uko na wakuu mbali mbali. Mwingine anaota kabisa yuko na Obama au Trump. So unahitaji kuomba sana mdogo wangu
Sidhani kama kuna haja ya kumkebehi mtoa Mada,
Punguza kutumia K-vantJamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.
Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!
Ni ugonjwa wa akili.Mtoa mada kacheki malaria
Unamuota anasema nileteeni Bwana uberJamani ni zaidi ya miezi sita sasa, haipiti siku tatu bila kumuota raisi MAGUFULI, mara niote eti Mimi ni mmoja wa walinzi wake wanaomlinda nahii si mara moja naota.
Wataalamu wa ndoto nisaidieni hapa tafadhari!!