Msaada jamani napotea mimi


Watanzania wengi hatuna nidhamu ya pesa.
 
Kuacha unaweza ila tatizo ni wewe kutaka komoa kampuni ya betting kuwa utaifilisi
 
The fact kwamba umeshauchukia mchezo huo ndio mtaji muhimu ulionao kuelekea kuuacha. Kama ungekuwa unashawishiwa na mtu mwingine kuuacha ingekuwa vigumu mara mbili. Kila siku au kila wakati jione (piga taswira) ukiwa hufanyi jambo hilo. Jione kwa shauku ndani ya moyo wako kuwa tayari umeshaacha. Sub-conscious mind huwa ina-learn. ---- Hatimaye utafika mahali utaacha kabisa.
 
Ushauri mzur mkuu
 
Hehe
 
Mtakuwa vibaka sasa
 
Kamari ya kisasa
 
Mm nina jamaa angu nae alishinda m13 ila baada ya wiki tu hakuwa hata na laki
 
Haha mkuu umeua
 
Hehe
 
Tutawajengea betting sober house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…