Msaada jamani napotea mimi

Kila siku tunawambia betting huo ni mchezo ulio anzishwa kwa ajili ya wehu Na wendazimu, matokeo yake siku hizi umebeba mpaka Na wasomi!
Kwa kuanzia nikupongezee tu kwa kutambua kuwa unatumia choo cha kike!
 
Mkuu tatzo huu mchezo anauongoza shetani mwenyewe co vibaraka wake
 
Mkuu ukitaka kuacha acha kabisa kufatilia mambo ya soka ukiwa unafatilia ukisikia leo arsenal na chelsea lazima utashawishika kucheki odd zao ukikuta chelsea kapewa odd kubwa utapata wazo la kutaka kuweka mzigo upige hela wenyewe wanasema kujilipua
 
Wazo zuri sanaa asante mkuu nitajaribu
 
Tatizo wabongo tuna tamaa Sana mbona me naburuzana nae Sana na ninafanya vitu vya maana
Yani unakuna mtu anabeti mechi kumi zote normal ushinde we yesu me sipendelei normal labda Leo naweza mpa Celtic
 
Nabet kama burudani na sio kupata pesa za ajabu, maana unaweza weka tamaa zako na hisia zikakuponza kila siku kupigwa na kanji
 
kwenye betting kuna uhakika mzuri wa kupata hela bila ya kuitolea jasho...tatizo lenu mnaweka timu nyingi kw mtaji wa 500 et ule million...kwel!!!? hkn biashara ya hivyo..weka timu moja weka stake ya maana m ndo naishi hivyo na mambo yanaenda
 
Umetumia mbinu gani mkuu
nilijiremove kwenye group nikafuta app ya m-net.
nikawaza kama kuna mtu amewahi kutajirika sababu ya kubet sikumuona na nikiona watu wanalalamika maisha magumu hela anachukua mhindi nkawa napata hasira zaidi.
 
Kweli mkuu huu mchezo uwez kutajirika na hauna faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…