The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,011
- Thread starter
- #41
Sawa mkuuInabidi uwe na nidhamu ya pesa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuInabidi uwe na nidhamu ya pesa mkuu
Ukipiga hela fanya mambo ya maana. Baadae anza taratibu, sio ukipiga hela leo kesho unataka zaidi. Huu mchezo hauhitaji sifa.Mkuu pesa napga ila tatzo zinarud taratibu naweza nikampga leo ila had kufka mwez ujao kashanipga mara mbili
Ushauri mzuri mkuuUkipiga hela fanya mambo ya mama. Baadae anza taratibu, sio ukipiga hela leo kesho unataka zaidi. Huu mchezo hauhitaji sifa.
:Silasc
Biashara gan hii mkuuTatizo lenu nyinyi mnaona betting ni kamari wakati ni biashara kama ilvyo biashara ya duka
Sawa mkuu wazo zuriTafuta hobby nyingine ya kuchukua nafasi ya betting. Mfano katafute mahali ujifunze mziki/kinanda au hata lugha ingine.
Kila siku tunawambia betting huo ni mchezo ulio anzishwa kwa ajili ya wehu Na wendazimu, matokeo yake siku hizi umebeba mpaka Na wasomi!Natumai uzima upo Wakuu naombeni msaada nifanyeje niweze kuachana na huu mchezo wa betting mana nishakuwa adicted natafuta pesa kwa nguvu ila inaishia huko kwnye betting company hata nile kiasi gan cha pesa bado nawarudishia taratibu naombeni ushauri nifanyaje kuachana na mchezo huu
Mkuu tatzo huu mchezo anauongoza shetani mwenyewe co vibaraka wakeKila siku tunawambia betting huo ni mchezo ulio anzishwa kwa ajili ya wehu Na wendazimu, matokeo yake siku hizi umebeba mpaka Na wasomi!
Kwa kuanzia nikupongezee tu kwa kutambua kuwa unatumia choo cha kike!
Wazo zuri sanaa asante mkuu nitajaribuMkuu ukitaka kuacha acha kabisa kufatilia mambo ya soka ukiwa unafatilia ukisikia leo arsenal na chelsea lazima utashawishika kucheki odd zao ukikuta chelsea kapewa odd kubwa utapata wazo la kutaka kuweka mzigo upige hela wenyewe wanasema kujilipua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jf mna vitukousiaaache kubet we...utapishanaa na helaaaView attachment 514732 chukuaaa sure iyooo ya kesho
Umetumia mbinu gani mkuumbona mi nimeacha kirahisi tu
nilijiremove kwenye group nikafuta app ya m-net.Umetumia mbinu gani mkuu
Kweli mkuu huu mchezo uwez kutajirika na hauna faidanilijiremove kwenye group nikafuta app ya m-net.
nikawaza kama kuna mtu amewahi kutajirika sababu ya kubet sikumuona na nikiona watu wanalalamika maisha magumu hela anachukua mhindi nkawa napata hasira zaidi.