Wahi hospital akafanyiwe vipimo ukichelewa waweza mpoteza mmoja au wote
Ushauri :usiende popote zaidi ya muhimbili wana huduma nzuri za wajawazito huko kwingine watakimbilia kufanya upasuaji
kaka huku niliko ni ful majanga nipo mara serenget yan hospital yenye atrasaund ni moja tu na hao maspecialist ni sawa na hakuna adi nachoka kila tukienda wanasema hakuna tatizo et ni kawaida ata celew katoto kenyewe ndo kakwanza
Miezi ya kugeuka bwana mdogo huyo jaribu kuwahi hosp nilipatwa na hiyo mpk kukaa ilikiwa shida lkn kuchekiwa sikuwa na tatizo zaidi ya mjamaa kugeuka...niliambiwa nijitahd mazoez nisikae tuu na miguu iwe juu mda mwingi...maji mengi na ajitahidi kula!! Miez ya hatari hii mwambie aende hosp kwanza..
Ana uzito na urefu gani? muda mwingi anabaki amekaa tu au anatembeatembea kidogo? vipi soda anakunywa?
Mpeleke Bugando mkuu......hapo DDH unaweza kupata janga.........pole sana.........
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot