Msaada jamani,naumia

Msaada jamani,naumia

joub

Member
Joined
Feb 13, 2014
Posts
33
Reaction score
3
Jamani msaada kwa wajuao kama kuna dawa mrs ana uja uzito wa miezi saba na nusu anapata maumivu makali kuanzia kiunon hadi karibu na mbavu upande wa kushoto tuu maumivu ambayo yanapelekea maumivu ya tumbo,wakati mwingne hawezi kulala wala kuka nata hamu ya kula,sambamba na hlo anatapika na pindi akimaliza kutapika maumiv yanapungua kabisaa bt afta muda yanaanza tena.

Tatizo ni nn?je kuna jinsi ya kutibu tatizo hilo? Thanks
 
Wahi hospital akafanyiwe vipimo ukichelewa waweza mpoteza mmoja au wote
Ushauri :usiende popote zaidi ya muhimbili wana huduma nzuri za wajawazito huko kwingine watakimbilia kufanya upasuaji
 
Wahi hospital akafanyiwe vipimo ukichelewa waweza mpoteza mmoja au wote
Ushauri :usiende popote zaidi ya muhimbili wana huduma nzuri za wajawazito huko kwingine watakimbilia kufanya upasuaji

kaka huku niliko ni ful majanga nipo mara serenget yan hospital yenye atrasaund ni moja tu na hao maspecialist ni sawa na hakuna adi nachoka kila tukienda wanasema hakuna tatizo et ni kawaida ata celew katoto kenyewe ndo kakwanza
 
Ana uzito na urefu gani? muda mwingi anabaki amekaa tu au anatembeatembea kidogo? vipi soda anakunywa?
 
Mpeleke Bugando mkuu......hapo DDH unaweza kupata janga.........pole sana.........
 
poleni sana mkuu ila fanya jitahada za dhati kabisa kwenye hali kama hiyo!ngoja waje wataalamu wa ushauri zaidi
 
Miezi ya kugeuka bwana mdogo huyo jaribu kuwahi hosp nilipatwa na hiyo mpk kukaa ilikiwa shida lkn kuchekiwa sikuwa na tatizo zaidi ya mjamaa kugeuka...niliambiwa nijitahd mazoez nisikae tuu na miguu iwe juu mda mwingi...maji mengi na ajitahidi kula!! Miez ya hatari hii mwambie aende hosp kwanza..

so ulivyokwenda hosp hukupewa huduma yyte zaid ya huo ushur?ngoja leo niempeleke nitawapa fid bak wapendwa
 
Ana uzito na urefu gani? muda mwingi anabaki amekaa tu au anatembeatembea kidogo? vipi soda anakunywa?

ana kilo 50 uref cjajua ila niwakawaida ci mfup yupo katk kund la waref wa wastan,soda anakunywa kwa nadra sana
 
Mpeleke Bugando mkuu......hapo DDH unaweza kupata janga.........pole sana.........

asante kwa ushaur kaka ngoja nende apo ddh nione response knwza i wl giv yuu fidbak mkuu
 
Mama mjazito sio wa kumpa mpa madawa bila ushauri wa daktari bora uende hosptal
 
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot
 
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot

Jitahidi kaka mambo ya afya sio mchezo mpe mlo kamili
 
Nashkur wandugu kwa ushaur wenu mola awabariki nimeenda hospital tumechek tayar dogo ameelekea getini,wametushaur kufanya mazoez na kuzingatia mambo ya misos,xnx a lot

Kama ulivyoambiwa hata hospitalini, tatizo ni kuwa wanawake wengi wakiwa wajawazito basi ni watu wa kukaa tu hawawezi kujishughulisha kazi wala mazoezi japo madogo madogo. Nakushauri kwa sasa aepukane na vinywaji vyote vyenye kaffeina, asinywe soda au juisi yeyote ya kiwandani, asitumie ulevi wa aina yeyote na ale mlo kamili bila kusahau maji.
 
Back
Top Bottom