Jamani msaada kwa wajuao kama kuna dawa mrs ana uja uzito wa miezi saba na nusu anapata maumivu makali kuanzia kiunon hadi karibu na mbavu upande wa kushoto tuu maumivu ambayo yanapelekea maumivu ya tumbo,wakati mwingne hawezi kulala wala kuka nata hamu ya kula,sambamba na hlo anatapika na pindi akimaliza kutapika maumiv yanapungua kabisaa bt afta muda yanaanza tena.
Tatizo ni nn?je kuna jinsi ya kutibu tatizo hilo? Thanks
Tatizo ni nn?je kuna jinsi ya kutibu tatizo hilo? Thanks