NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
umepima presha,sukari au tb?Mimi nasumbuliwa na kichwa na mwili unachemka sana na hata nguvu sina, hili tatizo limeanza Muda mrefu, nimehangaika hospital kubwa kila nikipima majibu yanakuja sina tatizo na mimi najiona naumwa sasa, nimekosa cha kufanya kwa kweli. Mimi natumia bima ya afya.
jamani naombeni msaada nikapime kipimo gani?