Msaada jamani, naumwa na kichwa

Msaada jamani, naumwa na kichwa

Mimi nasumbuliwa na kichwa na mwili unachemka sana na hata nguvu sina, hili tatizo limeanza Muda mrefu, nimehangaika hospital kubwa kila nikipima majibu yanakuja sina tatizo na mimi najiona naumwa sasa, nimekosa cha kufanya kwa kweli. Mimi natumia bima ya afya.

jamani naombeni msaada nikapime kipimo gani?
umepima presha,sukari au tb?
 
Back
Top Bottom