Msaada jamani niko njia panda.

Msaada jamani niko njia panda.

dini?? mnazungumzia dini au madhehebu??
kama ni dini msabato na mromn wote ni dini moja ya ukiristo.
sasa unataka abadili awe mwislam au hindu? tataizo miwatum mingine haya maswala ya imani
wanayakomplicate sana.
 
Weee! acha kabisa hiyo kitu, badili wewe uwe mkatoliki kwanza, umeona wewe dini yako ndio ya samani kuliko yake? ukishindwa basi muishe tu kila mmoja na dini yake
 
duh kizungu zungu dah hili jukwaa linanifundisha mambo mengi sana kwa kweli napata burudani na wakati mwingine nahuzunika anyway time will tell nikifikia huko nitakuwa nimeshakuwa kungwi maana kutakuwa hakuna jambo jipya hapa tena mapenzi jamani ni mazito sana watu hawajitambui aisee
 
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!

Kwa nini usibadili wewe??badala yake unalalamika tu!!au na hili unataka serikal ikusaidie?
 
wasabato wako tayari kufukuzwa kazi ili waende kanisani jumamosi
wewe badili ukishindwa basi,tafuta roma mwwenzio

Kaka yeye ndo msabato!so kama anaona uzushi kwa mamaa kubadili then abadili yeye!
 
kwani wewe huwezi kubadili? au ya kwako ni ndo dini sana kuliko ya mwenzio ?
wewe ndo unatakiwa ubadili

Smile,umenifanya ni-smile na kufurah...eti eeh kwan yeye yake ndo dini sana kuliko ya mwenzie?kama kampenda abadili yeye!tatizo li wap?kama anaona ngumu kwa yeye...then why kwa mwenzio iwe rahisi?
 
tafuta wa Imani yako au soma biblia zaidi kwani imeandikwa msioe walio wa imani tofauti na nyie
 
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!

Kichwa kinaniuma dah!!!Hivi kwani nyi hamjui kusoma??????someni Katika biblia mwanzo hadi mwisho sijaona kuna dini inatajwa ikiitwa USABATO wala UROMA,wala Yesu hajawahi zitamka dini zenu zote zilianzishwa na watu kama nyie....mpeni Yesu maisha mfunge ndoa.
 
NOT all fingers are of same LENGTH,
but
when they are BENT, all stand in EQUAL length.
LIFE becomes easy
when we BEND & ADJUST to certain situations
 
Naomben ushaur jaman Mm ni msabato, na nimepata mchumba wa dini ya Roman catolic nikimwambia abili dini hataki nifanyeje nisaidien niko njia panda..!

duuh kumbe izi mambo bado zipo. tafuta msabato mwenzio. end
 
Kichwa kinaniuma dah!!!Hivi kwani nyi hamjui kusoma??????someni Katika biblia mwanzo hadi mwisho sijaona kuna dini inatajwa ikiitwa USABATO wala UROMA,wala Yesu hajawahi zitamka dini zenu zote zilianzishwa na watu kama nyie....mpeni Yesu maisha mfunge ndoa.

True...
 
Back
Top Bottom